![]() |
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Hans Poppe |
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba hawawezi kumuomba radhi Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Mehboob Manji ili warejeshewe dola za Kimarekani 30,000 wanazodai kutapeliwa na beki Mbuyu Twite, kwa sababu wanadai haki yao.
chanzo cha habari hii bin zubeiry.blogspot.com
No comments:
Post a Comment