Wednesday, September 19, 2012

Abdalah nyaganya aka chikaka!!!!!!! msanii anayetamba na single yake kanda ya ziwa !!

Mmoja kati ya wasanii wanaokuja juu kwa muziki wa kizazi kipya katika kanda ya ziwa maeneo ya musoma mjini na viunga vyake ni chikaka jamaa natamba na nyimba mbili ametoa single ya kwanza inayoitwa itwa (Utanaswalo) ni kijita lugha ya watu wa musoma majita akimaanisha Hauna aibu! track hiyo amemshilikisha msanii wa hip hop Lazzybaby, ngoma yake yapili ni Magomangeta ambayo teyali amesha toa video ambayo ilitengenezwa na I com video Dir Iddi com ni video kali yaukweli ukipata bahati ya kuitazama utaona sehemu mbalimbali za mkoa wa mara.

No comments:

Post a Comment