Wednesday, September 5, 2012

MARA PRESS CLUB WARIDHIA AZIMIO LA DARES SALAAM

hapa napata vifungu vya sheria kwa wakili wa chama juma thomas.
wanahabari wakipata picha ya pamoja na wawezeshaji baada ya mafunzo  kufungwa rasmi wa kwanza kulia calesone,mwl dennis magoti ,mwezeshaji judica losai TBC)Juma Thomas wakili na ni mwanasheria wa mara press club,joyce sauli afisa kutoka MCT),veronica  na John Mponeja ,mstari wa nyuma kulia ni mpiga picha wa ITV Maximilian ,mohamed nyabange Abood redio na wengine kutoka vyombo mbalimbali.
Hili ndilo azimio la dares salaam.
Nawaongonza wanahabari wenzangu  kutia saini azimio la dares salaam ya uhuru wa uhariri na uwajibikaji.

No comments:

Post a Comment