Lazzy baby makali wa hip hop atoa video yake mpya inayokwenda kwa jina la "i will be waiting"cheki na mi kwenye blog hii au kwenye blog mpya ya matukio mbalimbali ya the track masters djs msanii huyu kwawale mlio kuwepo kwenye fiesta mwaka jana na mwaka huu alifanya maajabu mpaka baba jonh adam mchomvu alimkubali kutokana na uwezo alionao kwenye jukwaa la fiesta katiya wasanii wa hip hop mkoa wa mara yeye amekuwa nikivutio kwa vijana wa mkoa huu. |
No comments:
Post a Comment