Monday, September 10, 2012

OKWI ATUA NDANI YA DAR KUANZA KAZI KESHO DHIDI YA AZAM FC

Emmanuel okwi ni mmoja kati ya mchezaji ambaye simba walifanaya kila liwezekanalo kuhakikisha anabaki msimbazi au kuuzwa nje ya nchi leo ametua jijini dar kuungana na wenzake kitika mchezo wa kesho dhidi ya Azam fc wanalambalamba katika mchezo wa ngao ya jamii.

No comments:

Post a Comment