Tuesday, September 18, 2012

18 WATUA MOROGORO KUIVAA MTIBWA

baada ya kutoka sare na prison ya mbeya katika mchezo wa kwanza wa ligi soka tanzania bara kocha wa dar young afrikan ameshusha kikosi cha wachezaji 18 mjini moro kuivaa mtibwa shuga katika mchezo wa kesho huku akilalamika kuwa hajaoga siku mbili walipo kuwa mbeya kutokana na kukaa katika hoteli isiyo kuwa na kiwango walipokuwa mbeya katika mchezo wa fungua dimba.

No comments:

Post a Comment