![]() | |
Tukiwa kama wadau wa comedy tusingependa kumkosa king kwasababu amekuwa mfano wa kuigwa na wasanii wengine lalichosema nikwamba anapumzika ili kuwapisha watoto wake wawili wa kiume lakini atakuwa akitoa mwongozo kwao ili wasitoke nje ya maadili ya sanaa Big up sana king cwanao tu ila na chipkizi wa tasnia ya comedy hapa bongo. |
No comments:
Post a Comment