mgombea wa nafasi ya mweka hazina wilaya ya musoma mjini Robert Zembwela asema dhamira yake ya kubwa kuwania nafasi hiyo ni kukiletea maendeleo chama kwa kubuni miradi endelevu. |
Mgombea wa nafasi ya katibu uenezi wa ccm mkoa wa mara Domi Athuman Juma,asema amechoshwa kuongozwa na watu wasio na uzalendo na chama kwa kushindwa kuleta mabadiliko ndani ya chama (Mara). |
No comments:
Post a Comment