| huo ndio mguu wa dj mapo aliyepata ajali na kwa sasa anapata matibabu hospitali ya rufaa bugando. |
| hiyo ndo keki aliyoandaliwa lilian. |
| kushoto ni dj mapo wa pili dj lima wa pili kulia lilian. |
| anayefungua shampeni anaitwa ruzindane. |
| aliyesimama baada ya birthday kijana huyo dj mapo alipata ya ajali ya kugongwa na gari mkendo na kuvunjika mguu . |
| akiwalisha keki waliohudhuria hafla hiyo. |
No comments:
Post a Comment