KAGINA NOTI ZONGOLI AJITOSA KATIKA UCHAGUZI CCM MKOA MARA
Katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama cha mapinduzi mkoa wa mara nae mwenyekiti wa mtaa wa kitaji D Kagina noti zongoli mwenye umri wa miaka 30 amechukua fomu ya kugombea kiti cha mwenyekiti wa mkoa wa Mara,wagombea wengine ni pamoja na Makongoro Nyerere mbunge wa Afrika mashariki na christofa chambili Kagina amewaomba vijana wenzake kumuunga mkono ili aweze kuludisha heshima ya chama na imani kwa wanachama wa ccm
No comments:
Post a Comment