Tuesday, September 25, 2012

MOW MATHEMATIC KATIKA JUKWAA LA FIESTA

Mow nikati ya wasanii wa hip hop wanao fanya vizuri hapa musoma alitoka na no dream no life mwaka jana mpaka sasa anatalajia kuachia video yake mpya siku chache zijazo nilimuuliza siku moja wewe ni g au sharo akacheka saaana!!!!!! Producer anaye fanya nae kazi hivi sasa ni Ommy Runner.

No comments:

Post a Comment