mkuu wa mkoa wa mara mh John tupa akizungumza na waandishi wahabari muda mfupi uliopita ofisini kwake kuzungumzia ujio wa tume ya marekebisho ya katiba mkoani mara amesema kuwa tumehiyo itaanza kusikiliza maoniya wakazi wa wilaya ya tarime siku ya jumatatu 19/11/2012 katika katika kata ya bumare na tarime mjini na kuanzia tarehe 28/11/2012 tumehiyo itakuwa musoma mjini na itaanzia katika kata ya kitaji na nyasho,makoko na buhare tumehiyo itazunguka mkoa mzima na kumalizia wilaya ya bunda,pia mkuu wa mkoa amewaomba wanamara kuwa watulivu na kutoogopa kutoa mawazo yao juu ya katiba. |
No comments:
Post a Comment