pendo malima asimulia kichapo alichopata kutoka kwa mumewe
waandishi wa habari wamtembelea mkazi wa buhare pendo malima (31) aliyepata kipigo kutoka kwa mumewake na kupoteza faamu kwa siku kadhaa katika hospitali ya mkoa wa mara kushoto ni anna mroso na kulia ni shomali binda.
pendo akiwa na mama yake monica malima wodini
beldina nyakeke.augustin mgendi na anna mrosso amesema kuwa kila mwezi uambulia kichapo kutoka kwa mumewe bwana Ndege aloys mbaye ni mvuvi ameongeza kuwa atakapo toka ataludi kijijini kwao buhemba (v).
No comments:
Post a Comment