Thursday, November 8, 2012

HALIMA MDEE NA HOJA BINAFSI BUNGENI

mbunge wa kawe kupitia CHADEMA na waziri kivuli wa aridhi na makazi Halima mdee leo ametoa hoja yake binafsi akiitaka  serikali kusimamisha mara moja zoezi la uwekezaji wa aridi wa kigeni na wa ndani kusimamishwa maramoja na kuitaka serikali kufanya uchuguzi wa udanganyifu na ubadhilifu unao fanyika kuwekwa wazi wabunge mbalimbali wanechangia hoja hio na kutoa azimio.
naye waziri mwenye dhama hiyo prof Anna tibaijuka amesema kuwa nikweli kuna ubadhilifu unaotokana na elimu kutotolewa  amesema kuwa elimu itolewe kuanzia bungeni mpaka vijijini kwani sheria ya aridhi inayo tumika sasa ni ya mwaka 1999 (4) 1999(5) na sheria ya 1962 pia waziri ametoa azimio kuwa swala la kusimamisha ugawaji wa aridi usisimamishwe ila taarifa ziwasilishwe ili kupata ufumbuzi wakina.


No comments:

Post a Comment