Thursday, October 25, 2012

MAGUFULI AKUBALI OMBI

makabidhiziano yafanyika mbele ya waziri mwenye dhamana.

baada ya makabiziano hayo ndipo Mh magufuli alipo toa tamko kwa kuiomba kamati ya ulinzi ya mkoa kutoa ushilikiano ili kudhibiti wizi unaofanyika katika miladi malimbali ya wachina hapa nchini mbele ya mbunge wa morogoro kusini Mh innocent kalgeria aliye kushoto na kulia ni balozi mrago pia alikubali ombi la kutumia wakandalasi wazawa katika miladi mingine,maladi huo utachukua miezi 24 tu.

mhandisi patrick mfukule kushoto na mtendaji mkuu kutoka kampuni ya ujenzi ya china raylway 15 Bureau group corporation (CR15G) Zhang tonggang (kulia) wakiweka saini.

No comments:

Post a Comment