likuwa ni siku moja tu kabla ya kumbukumbu ya mwl juliasi .k. nyerere, mkoani mara kulikuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm ngazi ya mkoa wa mara ambapo wagombea walikuwa ni mh chambili,mh makongoro na mh sanya ilibidi kura kuludiwa mara mbili baada ya wagombea kutovuka nusu ya kura za wajumbe walio kuwepo hapo ukumbini. baada ya kuludiwa mshindi aliibuka mh sanya kutoka wilayani bunda wapili alikuwa ni mh makongolo alikukubaliana na matokea ya kura ila alitoa wito kwa mwenyekiti mpya kwamba avunje makundi ndani ya chama ilikuleta umoja na mshikamano heshima ndani ya chama. |
No comments:
Post a Comment