MH JACKSON MSOME DC WA WILAYA YA MUSOMA MJINI AKIWEKA SAINI KATIKA KITABU CHA WAGENI BAADA YA KUFIKA KATIKA MKUTANO HUO KATIKA KATA YA KITAJI C MUSOMA MJINI LEO JIONI. |
WAKWANZA KULIA NI MSHAULI WA MGAMBO NA WAPILI NI AFISA USALAMA WA WILAYA DSO PULE NA ALIYE SIMAMA NI MWENYEKITI WA KATA YA KITAJI C JUMANNE IDDI AKIMKALIBISHA MGENI RASMI. |
TAALIFA FUPI ILISOMWA |
MH DC AKIPOKEA TAALIFA FUPI YA UTEGELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA KAZI WA MKUU WA WILAYA NA VIONGOZI WA KATA NA MITAA ULIOFANYIKA TAREHE 13/12/2012 CHUO CHA AFYA MUSOMA |
VIJANA 32 WAMECHAGULIWA NA KAMATI YA ULINZI YA KATA HIYO YA KITAJI C NAKUPEWA SEMINA YA JINSI YA KUFANYA DOLIA NYAKATI ZA USIKU SEMINA HIYO IMETOLEWA NA OCD WA JESHI LA POLISI WILAYA, AMEONYA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NA KUUA MWALIFU PINDI WANAPO MKAMATA AMESIFU JINSI MAAZIO 20 NA MIKAKATI YA KATA HIYO KUWA YAMEFANYIKA VYEMA NA KUSEMA MPAKA SASA KILA KATA TEYALI IMEMALIZA MIKUTANO YAKE.
KATIKA SWALA LA KIPAUMBELE AMESEMA KUWA MATUKIO YA VIBAKA ,UDOKOZI NA MAUAJI KATIKA WILAYA NI LAZIMA KUPAMBANA NAYO NA MAKUNDI YA VIJANA BAADHI YA WAZAZI WAMEALALISHA NA KUWAKUMBATIA VIBAKA HAO,PIA HATU YA KUTOA ONYO KWA WAZAZI NA WATOTO WAO NI LAZIMA ZICHUKULIWE MAPEMA NA YULE MZAZI ATAKAYE KWENDA POLISI KWAAJILI YA DHAMANA NA YEYE ATAFIKISHWA MAHAKAMANI.AMEWAOMBA MAJILANI WA KAYA KUTOA TAALIFA KWA VIONGOZI WA KATA,WENYEVITI,VIONGOZI MBALIMBALI WA DINI N.K KUTOA TAALIFA YA MWALIFU WANAPO MGUNDUA.
AKIZUNGUMZIA SWALA LA VIJANA 32 WALIOCHAGULIWA AMESEMA KUA NI WACHACHE SANA NA KUSEMA KAMATI IKAEKUJADILI JINSI YAKUONGEZA VIJANA WENGINE.NA KUWAOMBA WAFANYA BIASHARA KUTOA USHIRIKIANO KWA VIJANA HAO ILI KULINDA MALIZAO AMESEMA KUWA BAA NA VILABU VYOTE VYA POMBE KUFUATA SHERIA YA LESENI ZAO .
MH DC JACKSON MSOME ALITOA FULSA YA MASWLI MATATU KATIKA MKUTANO HUO NA WATU WALIULIZA MASWALI KWA DC MSOME.
SWALI 1 -IBRAHIM SHABBAN
JE? BAADHI YA WAZAZI WALIKANA BAADA YA KIJANA WAKE KUTAJWA
JINA LAKE KUWA NI MUHUSIKA WA MATUKIO.
DC MSOME MAJIBU NI MZAZI ANATAKIWA KUWAJIBISHWA NA KUHOJIWA NA KAMATI YA WILAYA.
SWALI 2 - LUCAS MAKENDE
JE? KIKOSI CHA VIJANA 32 NI WACHACHE SANA KWANINI WANANCHI
WASITOE MSAADA?
DC MSOME MAJIBU KWELI VIJANA 32 HAWATOSHI NAWAOMBA WANCHI WOTE AMBAO MTAKUWA NDANI YA NYUMBA KUAMKA MAPEMA MTAKAPO SIKIA FILIMBI YA VIJANA HAO ILA ANGALIZO MSICHUKUE SHERIA MKONONI ALISEMA DC MSOME.
SWALI LA 3 - HALIMA DAMAS
JE? MAENEO YA MAKABULI YA SHULE YA MSINGI MUSOMA NA KANISA LA MENONIGHT NI HATALI KWA VITENDO VYA UBAKAJI KWA
WANAFUNZI NA WAALIMU PIA NA MAEENEO YA OFISI YA CCM MKOA
NA UWANJA WA NDEGE PIA.
DC MSOME MAJIBU VIKOSI MAALUM TEYALI VIMEPANGWA MCHANA NA USIKU KUHAKIKISHA TUNAWABAINI WAALIFU HAO PIA AMEWAOMBA WANACHI KUTOA
TAALIFA KWA KIOGOZI YOYOTE WA KATA ALIYE KARIBU NA TUKIO ILITUWEZE KUJAMAPEMA ENEO LA TUKIO.
MWISHO ALIWAOMBA WAKAZI NA WANANCHI WOTE KUTOA TAALIFA ZA SILI KWA KIONGOZI YOYOTE ANAYE MUAMINI KUWA NI MSILI AU KUTUMA MESEJI KWAKE AU KWA OCD MOJA KWA MOJA.
No comments:
Post a Comment