unapokuwa musoma mjini ususani maeneo ya makoko seminari ndiyo unaweza kutazama jinsi ziwa linavyo onekana vizuri, kwambali nimajali ya mawe ambapo juu kunamnala ambao uliwekwa tokea enzi za utawala wa hawamu ya kwanza wakati bandali ya musoma ilipo kuwa inatumika kwa meli za mizigo na abilia lakini sasa hivi bandari hiyo ni sehemu ya popo,pimbi,njiwa na mapango ya wahalifu, kwenye mlima huo kulikuwa kuna taa nyekundu huwaka usiku ili kuiongoza meli kama ikiwa inatokea mwanza,kampala au kisumu sasa hivi hata mnala wenyewe sidhani kama hupo. |