kichekesho cha leo
Mama kapanda daladala na mwanae wa miaka miwili pembeni kakaa na njemba mojaMama:nyonya basi mwanangu
Mtoto:anatingisha mabega kumaanisha hataki
Mama:Au nimpe anko
Mtoto:analia sitaki anadaka nyonyo anaendelea
punde si punde akaacha tena kunyonya
Mama:ntampa anko kama hautaki
Mama:nimpe
Njemba:ahaaaa mama kuwa na msimamo basi nshapitiliza vituo vitatu kama unanipa nipe au kama vipi nishuke kituo kinachofuata
Mama:haaah anko uko serious..?
No comments:
Post a Comment