Wednesday, September 12, 2012

POLISI WAWEKA UZIBE MAANDAMANO MARA

Mwenyekiti wa mrpc akipata maelekezo ya wahariri dares salaam emmanuel bwimbo aliyeko kulia .
wanahabari baada ya kuzuiwa  maandamano na jeshi la polisi hapa wanamsubiri mwenyekiti kutoa tamko na muda mfupi mwenyekiti alitoa tamko la kutoandika habari za polisi.

No comments:

Post a Comment